Tunapangisha Nyumba Kinondoni A

Tunapangisha Nyumba Kinondoni A

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Nyumba ina vyumba 2 kimoja ni self,jiko,seble, nk

Ina jitegemea kwenye fence
Bei 400,000/ kwa mwezi,malipo kuanzia miezi 6 nakuendelea

Kwa maelezo zaidi +255756060183
IMG-20171003-WA0031.jpg
 

Attachments

  • IMG-20171003-WA0029.jpg
    IMG-20171003-WA0029.jpg
    36.1 KB · Views: 46
Huna adabu...hiyo nyumba jipangishe mwenyewe pambaff!
Kichaa kimekupanda mkuu mda c mrf utaanza kutembea uchi! Ndg wakupeleke mirembe haraka nje ya hapo watakukosa! Magufuli noma sana ona sasa anawehuwa watu mjini! Pole sana ndg
 
Duh sasa wewe unae tafta Wateja mbona mkali hivyo? Punguza jaziba utatukana na wapangaji sio kwa maneno hayo
 
Madalali wa Casablanka Kinondoni wezi na matapeli!
 
Mimi nataka kuiona ila sintokupa 5000 ya kunipeleka maana Ni wizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom