Marble stones

Marble stones

Ruby Morogoro

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
161
Reaction score
83
Wale wazee wa mawe! Je kuna mtu anayefahamu wateja wa marbles stones?
 

Attachments

  • 20171001_154448.jpg
    20171001_154448.jpg
    59.7 KB · Views: 41
  • 20171001_154433.jpg
    20171001_154433.jpg
    62 KB · Views: 44
Swali! Ni mawe makubwa kama yale ya Tanga ya ujenzi au mawe ya vito?
 
Ni makubwa sana ukwatwa ni km yale wanabandika kwny makaburi, mabank, nk
 
Hivi TZ kuna kiwanda cha wazawa cha kukata marble na granite au huwa tunazipeleka hivyohivyo nje ya nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom