Nahitaji flat screen tv

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
19,528
15,157
Waungwana nimechoka kuona wanangu waliozaliwa kuanzia 2006 wakiiamkiaHITACH TV (CHOGO) yangu shikamoo...nataka nilete kitu cha flat screen tv mpyaaaaa...budget yangu ni shilingi laki tano cash....haya nishaurini nikanunue aina ipi na wapi?!
 
Kwa pesa yako hio unaweza ukapata flat ya kuanzia inch 32 kwenda juu.
Mtafute huyu jamaa yupo hapa JF uzi wake kama hutauona uzi namba yake hii hapa
0773 561 004 (Jamal Masoud)
 
Asante sana wakuu...mwisho wa mwezi huu nitachukua kitu...nitawakaribisha tuje kuangalia soka kwenye new screen
 
Chukua kitu singsang nchi 25 ni laki mbili unusu kitu kimekwenda shule .....
Ni mwaka wa tatu sasa kinapiga kaz bila kokoro
 
Waungwana nimechoka kuona wanangu waliozaliwa kuanzia 2006 wakiiamkiaHITACH TV (CHOGO) yangu shikamoo...nataka nilete kitu cha flat screen tv mpyaaaaa...budget yangu ni shilingi laki tano cash....haya nishaurini nikanunue aina ipi na wapi?!
We upon wap
 
Lg inchi 32 smart TV unauzaje mkuu
Na ipi nzuri kati ya TV mpya na ya mtumba
LG nchi hizo huwa hazizidi laki 7 so inategemea, alafu Wengi wanaziogopa mtumba ila mtumba ni konki cuz tunazozichukua ni kutoka Dubai na Uingereza...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom