As we celebrate our 7th years in management consultancy services, Excellence Management International has decided to offer an opportunity for all organizations to choose short couse training from...
Wakuu salama? naombeni kujua hasa kwa wale ambao walishaitumia tyt voltz. Vipuri au spare parts zake znapatkana na kama znapatkana bei ipoje? vp hii gar mara nying ina mata tzo gan?
Nawategemea...
Jipatie iPhone 5S 16GB kwa bei ya 560,000/= Tshs, simu ipo katika hali nzuri na imetumika miezi mitano tu, pia maelewano yapo
0625648408
0719045499
0755300760(whatsapp only)
Habari zenu....natoa punguzo la bei kwa(vifaa na chemical za maabara ya shule) wakuu wa shule zoote katika kipindi cha kujianda na mtihani wa Taifa wa kidato cha nne...kwa maelezo zaidi pga 0717...
Lake V fish monger tunawatelea dagaa za kukaanga, senene za kukaanga pia SAMAKI fresh wabichi directly from BUKOBA(ZIWA VICTORIA) bei zetu ni
1. Samaki kwa bei ya Reja reja kwa kilo ni sangara...
Wakuu,
Vitendo vya kuchukuliwa nyara, kushambuliwa, kujeruhiwa na kuuawa kwa ndugu zetu wenye ualbino vinasikitisha sana na kuhuzunisha. Ni miaka mingi sasa watu wenye ualbino wamekuwa wakiishi...
Chumba kinapangishwa kipo katika mazingira mazuri kabisa ya utulivu
Wapangaji wapo sita vyoo vipo vinne mabafu yapo matatu vyumba vingine ni self container vimejaa
Umeme buku kumi kwa mwezi
Maji...
Habari wakuu humu.
Ninahitaji kuwa wakala Wa kampuni zinahusika na ununuzi Wa korosho Wa Mikoa ya Lindi na Mtwara.
Kampuni zinazotaka kununua korosho kwa msimu Wa 2017/2018 kwenye mikoa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.