Nauza laini ya m.pesa na airtel mone

Nauza laini ya m.pesa na airtel mone

Issuna

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,204
Reaction score
7,653
Laini zipo mbili zote zinahitaji Mtumiaji..ni wewe na mtaji wako.

Bei kwa laini ya voda ni 200000(laki mbili)
Bei kwa laini ya Airtel ni 150,000(laki na nusu)

Anahitajika wa kuchukua ZOTE haziuzwi moja moja.

Napatikana Kibamba mbelee ya mbezi mwisho kama unaenda kibaha.

no.0785593336
 
Biashara au ubabe?

Wewe ulilazimishwa kununua zote kwa pamoja? Au kila moja ulinunua wakati tofauti tena kutoka kwa makampuni tofauti.

Anyway endelea kuuza but hizo bei sijui kama umepitia nyuzi za wauzaji wenzako humu ukaona bei kwanza.

All the best
 
Unaona enheeee ila kila mtu na bahati yake.hiyo bei juu
 
Anataka akuuzie kisha aje na polisi kwa kosa la kununua laini kinyume na sheria. Kisha hela iliyomo humo yote wanaichukua.
Wizi wa kishamba kweli....
 
Unauza huku unakoroma, tuone utaishia wap na magalasa yako hayo...
 
Hii biashara ya kuuziana line mbona siielewi. Kwanini unauza line hizo? Kwanini wengi wanauza hizi till no. Siku hizi kuna nini nyuma?
 
Biashara au ubabe?

Wewe ulilazimishwa kununua zote kwa pamoja? Au kila moja ulinunua wakati tofauti tena kutoka kwa makampuni tofauti.

Anyway endelea kuuza but hizo bei sijui kama umepitia nyuzi za wauzaji wenzako humu ukaona bei kwanza.

All the best
Unaona enheeee ila kila mtu na bahati yake.hiyo bei juu

Ukiona cha Bei Rahisi ujue kina kasoro...ukiona mtu anauza TILL kwa bei ndogo jiulize mara kumi kumi halafu ukishapata jibu ndio ununue,kupenda vya bei ndogo mwisho utashika tama na ujute hata kwa nini ulinunuaga Till kwa mtu.

Bei nlotaja iko favourable kulingana na Laini husika..kama unahisi huu ni utapeli nadhani hamna mtu anaenunua kitu bila maandishi na mashahidi,kama ulizoea kununua tu TILL mkononi tu kama unanunua NYANYA ipo siku yatakutokea ambayo hutokaa uamini kama ni wewe yamekukuta.

Mpaka TILL inatolewa kwa muhusika n lazima atimize LESENI,TIN,KADI YA KUPIGIA KURA ndio upewe Till,sasa wewe unakuja nunua LAINI mkononi kama unanunua VITUNGUU wakat anaekuuzia ndio anatambulika kisheria my DEAR usitake kujua kilichomkuta NGOSWE.

Anyway mi nauza laini kwa anaehitaji na mwenye nia kama utaniona Kajambazi flan au katapeli flani well and good ila hamna Tapeli siku izi unajitapeli mwenyewe.

Hiii kitu iko Kisheria kidogo baada ya makubaliano ya MANUNUZI ntakwambia cha kufanya ili nitakapokupa TILL mimi nibaki SAFE na wewe pia ubaki SAFE.

MWISHO
 
Hizi line Kwani zinatolewa wapi, kampuni za simu au mtu binafsi
 
Hizi line Kwani zinatolewa wapi, kampuni za simu au mtu binafsi
Kampuni ya simu tu..ukiona mtu anauza kama mimi nae kazipatia huko huko kampun ya simu japo hazitolewi tu kama laini ya kawaida zina vimasharti vyake ambavyo ndo vinawashinda watu wengi so ili kupita shortcut ndo unaaamua kununua kwa mtu ili kukwepa mlolongo ambao ungekutana nao kama ungezifata mwenyewe,,na sio kununua tu kama karanga hapo kumbuka unauziwa laini yenye usajili wa jina la mtu na utalitumia jina lake miaka yote so kama utanunua laini kwa DAUDI

Kuanzia siku hiyo ulonunua laini jina lako litakua DAUDI so itabidi ukubaliane na kila kitu alichokua akikifanya DAUDI wa mwanzo sasa usipokua makini..JELA inakuita.
 
Back
Top Bottom