Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kuna link na nimesikia Times Fm. Kuna washkaji wanakopesha viwanja kwa kulipia Tsh:1,000 kwa siku. Sasa link yao nimeisahau nimeiona wapi Mwenyenayo aitupie hapa BLESSED
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habar wana jf Kama kichwa cha habar kinavyoeleza Nahitaj chumba kiwe na choo na sebule maeneo ya tabata , bugurun malapa , kiwalani na sehem yeyote karibu na mji Chumba na subule vikiwa...
1 Reactions
2 Replies
889 Views
Habari wanajamvi, Msaada, ni wapi naweza pata kiatu tajwa original hapa mjini Dar. Nimejaribu kutembea K'koo last Wikend nimekuta fake vingi wanauza kwa 85k(nafahamu Og itakuwa zaidi hapo). Shida...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa shikamoo!wadogo mambo vp!namiliki samsung s6!lakini nahitaji mwenye s6+tufanye kubadilishana na nimuongezee pesa!anitajie ofa nzuri nipo tayari kama yupo inbox itatuhusu!asanteni!.
1 Reactions
6 Replies
811 Views
Mwenye kuuza simu nitafute kwa 0769386392
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jamani gari inauzwa 3.5 mil fixed, ipo Dar es Salaam, inahitaji rangi, shockup za nyuma, mfuniko wa tank la mafuta.Gari ina namba B. Aliyetayari ani PM tuzungumze biashara.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau , Nimefunga salun yangu ambayo nimeiendesha kwa mda wa mwezi mmoja tu. Sabab ya kuuza,ninahamia mkoani kikaz, Kioo cha mbele kikubwa futi 5*6 80,000/=(aluminium) Kioo cha nyuma...
0 Reactions
7 Replies
15K Views
Nina sambaza karanga mbichi kwa bei poa, karanga zinatokea mkoa mpya wa songwe wilaya ya mbozi, kubwa kubwa nyeumbe na nyekundu, bei yetu ni shilingi 2,500 nyeupe na 27,00 nyekundu, karibuni sana...
1 Reactions
45 Replies
9K Views
Frij ndogo bei 150,000 na tabulate kali 150,000.Mwenye navyo fanya haraka kabla sijamalizia pesa kwenye bia.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Salamu wakuu, Natafuta Ps3 console mbili (2) za kununua ambazo zitakuwa mpya au zilizotumika kwenye hali nzuri pamoja na controller (pad) zake. Mashine zilizoguswa guswa na kurekebishwa no...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Ramani za nyumba za kawaida na maghorofa,ramani za nyumba za kawaida sasa ni 250,000- 300,000 kama inakuwa na mabanda ya nyuma(servant quarter) inakuwa ni sh 350,000. Ramani za ghorofa moja ni...
3 Reactions
22 Replies
18K Views
Kampuni ya Mindsource yenye makao yake Morocco na yenye kuendesha trainings ama mafunzo kwa watu walio maofisini ama hata waliomaliza masomo na wanataka kufanyiwa trainings, inatangaza nafasi ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, natafuta adapta ya computer HP compaq Mwenye nayo used au new msaada
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Call/whatsapp 0688767668/0715967107 Kinondoni Manyanya Mtaa wa Brazil Autoguru workshop
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mara nyingi sana mtu akitaka kulima hasa mboga atatafuta shamba pembeni ya mto wenye maji ili aweze kulima mboga au matunda au hata mazao mengine. Kwa hali ya sasa huu utaratibu ni hatari sana na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Niwashirikishe Wakulima wa Papaya Kampuni ya ELVEN AGRI iliyopo Mapinga Bagamoyo. Inahitaji matunda ya Papaya kwa wingi, kiasi cha tani 6 mpaka 8 kwa wiki. Aina ya papaya: Ipb9 calina, Red...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wahi sasa ujipatie blenda inayokamua na kuchuja juisi ya matunda mbalimbali bila kutumia umeme. Pia haisagi mbegu kwa matunda yenye mbegu kama machungwa, passion n.k Utafikishiwa popote pale...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Ni mpya spark plus,box lipo na risti pia. Bei maelewano. 0713503445 ,0769386392 , 0626658983 ,0785717499
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni aina ya spark plus, grey , kamera 13 ,5 nimpya na box lake lipo bei maelewano piga 0769386392. Nko daresalamu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, Nahitaji scrap/skrepa/chuma chakavu,ninanua kwa anae weza kukusanya kuanzia tani moja na kuendelea tafadhari tuwasiliane soko ni uhakika na bei iko kama ifuatavyo copper 1kg=900Tsh blase...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom