Qualifier
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,252
- 408
Shamba linauzwa liko Msowero Kilosa liko kando kando mwa mto Msowero llinafaa kwa kilimo cha umwagiliaji shamba limepimwa na lina hati ipo nyumba kwa ajili ya kuhifadhia zana za kilimo barabara ipo na baada ya km 4 tu kuna barabara ya lami mpaka Karioakoo ni masaa manne ukiondo foleni na masaa matatu mpaka Dodoma sokoni ukubwa wa shamba ni eke 65 kama unahitaji nitafute tufanye biashara.