Msaada wapi nitapata vifaranga wa kufuga

f de solver

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
2,339
1,834
Habarini Wana JF poleni na majukumu ya kila siku!!!!!!!
Kama kichwa kilivyo Wana JF na shida ya kupata vifaranga wa kuku wa kufuga
Aina ya Hawa kuku wako kama wa kisasa ila ni wa kienyeji wapi nitapata hapa dsm kwa anaejua anaweza nielekeza

Shukrani
 
Back
Top Bottom