Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Kawawa Moshi

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,732
Kiwanja chenye nyumba ya vyumba viwili (ina mpangaji) inauzwa

Ina eneo lenye ukubwa wa metre 40 kwa 30 /zaidi ya robo heka

Kipo metre 200 kutoka katikati ya barabara ya lami ya Moshi Dar road

Kina hati ya mauziano iliyothibitishwa na kamati ya ardhi ya kijiji

Kiwanja kina bomba la maji umeme upo.

Ni eneo lenye nyumba za kisasa na hazijasongamana

Bei mill 12 maongezi yapo

Kama unahitaji viwanja mashamba
Mkoani Kilimanjaro piga 0658825141
0621068486
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom