Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa heshima na taadhima wanaJamii Forums naomba mnisaidie majina ya Makampuni yanayouza Motor Grader hapa Tanzania ili niweze kuwasiliana nao kujua bei. Itakuwa vyema pia kupata simu zao...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam, Naomba mwenye uelewa wa wapi naweza pata mashine hiyo (Isiwe ya umeme) tuwasiliane. Naihitaji kwa haraka sana.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Suala la umiliki wa ardhi limekuwa si jambo geni lakini pia si jambo la ziada Bali ni la msingi katika ulimwengu huu na katika nchi hii hasa ukizingatia kila siku iendayo kwa Mungu ardhi imekuwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar ndugu zangu kwa wakaz wa mbeya ninauliza kwa wale mnao fanya biashara ya vocha nimeuliza kua moja wanauza 475 na 975 sasa napenda kuuliza kama unamtaji wa Tsh 500,000 unapo nunua hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata redwine (dompo) reja reja ths 8500 toa oder kma utahitaji utaletewa 0656 43 66 62 Tuma msg,piga simu au msg ya kawaida kutoa oder yako Karibuni
1 Reactions
25 Replies
17K Views
Tafadhali ushauri wa rangi nzuri iliyoko kwenye chart, kwa ajili ya kupaka kwenye kuta kwa nje kwenye nyumba ya kuishi.
0 Reactions
4 Replies
14K Views
Land cruiser Prado Tx 2003-2004 115,000kms Automatic Petrol engine 3rz Pirelli new tires Dark grey Sports rims Dvd screens(3) 33milion shillings only No scratch and very well maintained Pls Call...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Nitafute nikupe chumba kikubwa karibu kabisa na chuo dk 2 unafika chuoni bei nzuri maji yapo geti na umeme wahi haraka 0768007733
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Jipatie asali mbichi kabisa ya ukweli kutoka mkoani Tabora kijiji cha Inyonga kwa bei nafuu kabisa hapa Dar es salaam Ni sh. 10,000 tu kwa lita moja,, napatikana Kigogo Nicheki kwa namba 0624 618374
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Elfu themanini(80) godoro dodoma lililotumika linahitajika Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Make money easily, without sweating like others .Gentoo.link - Earn Money via sharing links online - 7500$ Fix Montly income. Click the link do as it directs
0 Reactions
7 Replies
737 Views
TOYOTA IST Engine : 1490 Km : 86700 Year : 2006 BEI : Mil 11,000,000
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa wenye uhitaji au Una mtoto wako unahitaji afundishwe masomo hasa hasa ambayo shulen walimu ni wachache na pengine hawapo kabisa Kwa baadhi ya shule Kuna kituo hapa ubungo riverside karibu na...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu waheshimiwa, Kwajina naitwa Said, na ni mtaalamu wamichoro ya graphics, nauwezo mkubwa wa kumchora mtu na akatokea kama jins alivyo...... Bei zang ni: * 10,000 kwa karatas normal...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuuu mwenye gari ya stauti aweke namba hapa ya sisi wakulima
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HP Compaq Intel Celeron RAM 4GB HDD 1TB Very good condition Price: 500k (Tshs) Contacts: 0718975078
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Ninahitaji mafundi wa kumwaga zege wawe na vifaa vyao kama milunda, mbao, nk.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ya muda huu wakuu. Mayai safi ya kisasa makubwa na yenye kiini cha njano yanapatikana Gezaulole Kigamboni. Bei ni shilingi 7000 kwa tray lakini ukichukua kuanzia tray 50 utapata kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom