Nauza Huawei Mobile Wifi kwa Tsh 110,000/=
Specification zake ni:-
a) 4G
b) Ni Universal - Inapiga kazi na laini zote za hapa TZ
c) Inakaa na Chaji kwa zaidi ya masaa 5
d) Download speed ni 150...
Huenda jina la kmpuni inayozalisha simu za mkononi ambazo ni smartphone na simu za batani ambayo ni itel si geni masikioni mwa watu wengi. Binafsi itel nilianza kuisikia miaka minne iliyopita...
Biashara na miradi mbalimbali huhitaji kuwa documented.... Katika maandishi yenye mtiririko kitaalamu.
Hii ni kwa biashara au miradi mipya au ya zamani.
Proposal huwa na faida nyingi ukiacha...
Kwa muonekano mzuri wa kisasa katika paa la nyumba yako hapa ni sehemu sahihi kwa kazi hiyo.
tupo arusha na tunafanya kazi mahali popote tanzania...wasikiana kwa no ....
Habari wakuu!,husika na kichwa cha habari hapo juu,kama wewe ni mfanyabiashara wa biashara zifuatazo,Unamiliki Duka la kawaida,Pharmacy,Godown,Tumekuletea suluhisho la usimamizi wa biashara yako...
habari kuna hii gari premio new model ya mwaka 2006 gari nzuri sana maarufu gear mkasi ,engine ndogo, km chache elfu 70 bei inaenda kwa mil 14 tu chap kwa haraka serious buyer 0714787795 gari dar...
Habari wakuu?
Nauza frem ya bati ya bango la biashara lenye kuwaka taa ndani pamoja na stendi yake. Bango lina urefu wa Mita 2 na Upana wa Cm 80 na unene wa Inch 5" yaani (2m×0.8m×5")
Kwa...
Habarini wadau!
Ninaomba msaada wa taarifa zitakazonifanya nipate hitaji hili la nyati mkubwa kwa ajili ya kitoweo katika shughuli ya kifamilia badala ya ng'ombe! Lengo ni kukidhi matakwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.