Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Habari za asubuh wakuu...
Naomba kufahamishwa maeneo yanayouzwa bidhaa zifutazo kwa jumla
1.super glue
2.dawa za viatu(kiwi,kangroo)
3.dawa za meno
4. Soksi(pundamilia)
5 amira
6 n.k
Naomba kujuzwa Maduka makubwa ya bidhaa hizo jumla