Nauza Heat Transfer machine ( T shirt printer)

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,191
7,322
habari wadau. Nina mashine yangu naiuza..mpya haijawai tumika.. bei ni 1m manufacture ni stahls... ina warranty 1 year size A-3
 
Attachments

  • 25HPM003-HP16x20-06-02.jpg
    25HPM003-HP16x20-06-02.jpg
    18.8 KB · Views: 124
picha ni ya product inayouzwa ipoje... kama.wewe ni tomaso.....ukitaka iona zaidi picha ingine hiyo hapo halisi au uje workshop uione kwa macho yako
Kwa nini uniite tomas mkuu kwa swali langu zuri...kwa swali langu ndio umeweza kupost picha ya bidhaa halis...tunafaham ndio maana tumeuliza.....tomaso ni wewe mtokwa povu unayedhan kila mtu wakuja.Biashara haiend ivyo mana umayemdharau na kumwita tomaso huenda ndiye mteja mzuri.....uwe na tafakur njema
 
ha ha ha usipanik bro... calm down.. tomaso kwani ni tusi???

haya basi mimi ndio tomaso.. kwa roho nyeupe mimi tomaso

Kwa nini uniite tomas mkuu kwa swali langu zuri...kwa swali langu ndio umeweza kupost picha ya bidhaa halis...tunafaham ndio maana tumeuliza.....tomaso ni wewe mtokwa povu unayedhan kila mtu wakuja.Biashara haiend ivyo mana umayemdharau na kumwita tomaso huenda ndiye mteja mzuri.....uwe na tafakur njema
 
Kuna mwana yuko pale mliman mzee wa logo nimempa mchongo kasema kwa sasa anahitaji mashine ya tattoo.....so kama unayo ama yupo anayeuza naweza kukuunganisha
 
Back
Top Bottom