Ninatafuta power generator (3 phase) lenye uwezo wa kuzalisha 10kva.

Ninatafuta power generator (3 phase) lenye uwezo wa kuzalisha 10kva.

Closed_Mind

Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
19
Reaction score
10
Natumai mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji kufahamu bei na upatikanaji wa generator tajwa hapo juu likiwa ni la three phase na uwezo wa kuzalisha 10kva pia ni vizuri nikifahamu kitumizi chake cha mafuta linaweza kutumia petrol ama diesel natanguliza shukrani kwa yeyote atakaeguswa
Pamoja na maelezo naambatanisha na picha ya mfano mmoja wa hizo power generator.
9af9d3bf7645c66854f5d5957bd207a1.jpg
 
Back
Top Bottom