Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari ya leo Wadau? Nakuja kwenu kuomba anayefahamu anielekeze mahali ninakoweza kupata mbegu ya mpunga itwayo KOMBOKA, au nyingine yoyote ya kisasa/chotara (hybrid) ambayo ninataka kuitumia kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba kwa ajili ya Makazi ya familia ipo sokoni, inapatikana maeneno ya Chanika buyuni. Kiwanja kimepimwa Na kina ukubwa Wa Sqm 660 document zote zipo Ina jumla ya vyumba vitatu, viwili Ni self...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wanajukwaaa. Sina maneno mengi sana nahitaji simu nzuri yenye uwezo wa 4G iwe used lakin isiwe zaidi ya miezi sita....nipo dar jiji la bashite... Kama unayo naomba unitumie picha na uje...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Redeem Insurance Agency ni kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma mbalimabali za Bima. Pata huduma zetu mbalimbali za bima na ushauri bure kutoka kwa wataalamu waliobobea kwenye masuala ya bima...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza meza ya office n ya mbao ya mninga..IPO sinza lufungila Angalia picha.. Bei..in 150000 tuu Call 0713794962
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni mafundi na wataalam wa sofa aina zote za chuma na za mbao, vitanda vya mbao, chuma na sofa, meza za mbao na sofa, makabati, pia tunarepair sofa aina zote 0719532007
1 Reactions
14 Replies
17K Views
Wakuu habari! Nahitaji kuwa professional photographer, je ni wapi naweza kupata wataalam ninapoweza kujifunza kwa hapa dar es salaam na gharama za kufundishwa zikoje.Natanguliza shukrani kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau. Naitwa Snitch2020 Naomba mniambie ninaweza kupata wapi Mashine ya kutengeneza Juice ya muwa mpya kwa bei rahisi. Mashine iwe inatumia Umeme. kama kuna mtu anafahamu...
0 Reactions
4 Replies
969 Views
Kama una hitaji huduma za drip irrigation tafadhali tuwasiliane jjkcompanyltd@yahoo.com au 0759339016 Tupo Arusha ila tunatoa huduma nchi nzima.
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Pata miche bora kabisa ya miembe kwa dar es salaam,utafurahia maembe haya kwani yanazaa kwa kiwango cha juu kabisa,epuka kununua miche kwa wauzaji wa mtaani,bei ya mche mmoja ni 10,000 za...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Color Silver CC 2360 AB ABS AW RS FOG NV 2WD 100s km Total Cost + Ushuru Tsh 20.5Mil Agiza nami kwa: Call/whatsapp/skype: +255715471659 e: hamoudautocom@gmail.com Office: Quality Centre, Nyerere...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta wateja wa viatu jumla na rejareja head office kariakoo mtaa wa nyamwezi na wakala yupo tunduma, mbeya lakini ukitaka popote tunakuletea bei nafuu kabisa
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kinasoru East Africa Tanzania Ltd inatoa fursa ya mafunzo ya uendeshaji wa mradi wa ufugaji wa kuku, utotoreshaji wa Vifaranga, Utengenezaji na Uandaaji wa vyakula mbalimbali vya kuku...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji mbaazi kwa wingi nipo Dar es Salaam, kwa wauzaji serious wanitafute 0714007173
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Waungwana wa JF nauza sofa Tsh 500,000 tu kwa zote tatu, Zipo Ubungo Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi phone No,0713 418 321
2 Reactions
26 Replies
6K Views
know SPLINA. 1.cleansing. cleanses the digestive system, assists in purifying blood, eliminates bacteria, disinfects and detoxify. 2. balancing. balances body acid alkali levels, boots the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa kwa amri ya mahakama ni nzuri ya kisasa ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa 30 urefu kwa 21 upana inbox me kwa maelezo zaidi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu Kichwa cha habari kinajieleza.Nahitaji TV ya inch 21 ya chogo na king'amuzi viwe katika hali nzuri.0714 411041 nipo dar
0 Reactions
6 Replies
957 Views
Habari za jioni wadau. Kwa Wanaohitaji Mikopo midogo midogo kuanzia (100,000 mpaka 2,000,000) kwa wakazi wa Dar es salaam tu. Riba ni 25%. Karibuni. Mawasiliano +255712 220207. Post sent using...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ndugu zanguni, Nauza mahindi nina gunia 100, Zipo Bukoba Kagera bei kwa gunia moja ni sh 75000, Karibuni wote 0756664797.
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…