Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 56
Nauza Gari yangu Toyota Vitz ya silver,bei ni sh 5,500,000 tu.Gari haina tatizo lolote,iko Wazo.Shughuli zangu ni Tegeta hivyo ukitaka kuiona fika Tegeta halafu tuwasiliane.Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki.
Imetembea takribani Km 98,000,ukubwa wa engine ni 990cc na road licence na insurance vyote vimelipiwa.Namba ya usajili ni CWU
Nipigie 0714-796778 au WhatsApp 0628-615685
Imetembea takribani Km 98,000,ukubwa wa engine ni 990cc na road licence na insurance vyote vimelipiwa.Namba ya usajili ni CWU
Nipigie 0714-796778 au WhatsApp 0628-615685