Nakupa lapotop unanipa baiskeli na hela kidogo
Location Arusha
Sifa ya laptop
Core i3
Ram 4gb
HDD 500
Processor 2.13
Haina tatizo lolote
Lile aina ya baiskeli ninayoitaka
Inaitwa...
Zipo aina mbalimbali kulingana na mahitaji ya mteja mfano kwa ajili ya birthday,Harusi,Sikukuu mbalimbali kama eid al fitri ,Christmas,Pasaka na kumbukumbu mbalimbali za kimaisha Pia kwa...
Nahitaji haraka sana simu tajwa hapo juu (Iphone 5S). Bei itategemea na Specs zake. Dau langu linaanza na 230 kwenda juu. Kama unayo please ni inbox, nependelea zaid rangi ya gold japo hata rangi...
Mwenye uzoefu na hili tafadhal naomba msaada , Npo kanda ya ziwa ninaproject kubwa ya kuzalishaji vifarangu vya kuku wa kienyeji na kuwakuza kwa kutumia incubator machine, kwahiyo nahitaj...
Habari za jioni ndugu zangu, nauza kiwanja changu chenye ukubwa was Sqm 890 kipo Babati maeneo ya Sinai. Bei nimeshusha 1.2 kutoka 1.8 Nauza kwa sababu nimekwama na nahitaji pesa. Viwanja vina...
Hello.
Kama unaijua The Innovation House Brand basi utajua ni nini ninachozungumzia. Kwa wale waliopo instagram account hii ya instagram @theinnovationhouse2014 mtakuwa mnaijua kama hujaijua basi...
Nataka gari aina ya ist, iwe katika hali mzuri, iwe imelipiwa ushuru vizuri isiwe ya ujanja ujanja, iwe ya 2008 kuja juu, iwe na mileage, si zaidi ya 150,000. Budget 6,500,00
Habari ndugu,
Ninatafuta kiwanja cha bei nafuu maeneo ya Tegeta, Boko , Salasala , mbweni au Makongo juu.
Budget yangu ni chini ya Milioni 12. Mwenye nacho naomba ani PM.
1)Kiwanja kiwe kimepimwa...
Shamba linauzwa Morogoro habari njema kwa wakazi wa Moro au hata Dar shamba kubwa sana linauzwa Morogoro.
Limelimiwa mpunga mpaka sasa ni hekari 12 na bei yake ni rahisi M7.
Morogoro Lupilo...
Kwa wanao hitaji shamba maeneo ya Morogoro bado lipo na lipo karibu na chanzo cha maji cha mto Ngerengere napatikana kwa namba(0744990530 au 0676051093)
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu wanajamii.
Naomba kufahamishwa ni wapi kwa Dar kuna vyumba vya kupanga ambavyo kodi ni 20elfu kwa mwezi,malipo ya miezi mitatu tu na unapanda gari moja hadi Ubungo ila isiwe...
Nauza pilipili nilizopanda shambani Bagamoyo kwa anayehitaji anitafute kwenye namba zifuatazo, kwa mawasiliano zaidi.
0766767539_voda
0677459677_tigo
Tafadhali mfahamishe na mwezio
Sent using...