kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
Nataka gari aina ya ist, iwe katika hali mzuri, iwe imelipiwa ushuru vizuri isiwe ya ujanja ujanja, iwe ya 2008 kuja juu, iwe na mileage, si zaidi ya 150,000. Budget 6,500,00
Hupati ng'ooo labda nisaan march au ist ilochoka sanaNataka gari aina ya ist, iwe katika hali mzuri, iwe imelipiwa ushuru vizuri isiwe ya ujanja ujanja, iwe ya 2008 kuja juu, iwe na mileage, si zaidi ya 150,000. Budget 6,500,00
Hahahaha bosi hakuna kitu ambacho hakipo ktk dunia hii,Hupati ng'ooo labda nisaan march au ist ilochoka sana
Utapata ya Kwa fundi kwa bei hiyo!Nataka gari aina ya ist, iwe katika hali mzuri, iwe imelipiwa ushuru vizuri isiwe ya ujanja ujanja, iwe ya 2008 kuja juu, iwe na mileage, si zaidi ya 150,000. Budget 6,500,00
Duu hizo condition zako nimezipenda sana, nakutakia kila la kheri nilijua naweza kuuza hapa mimi ninayo ya 2005 niliingiza Mwaka 2016 March ilinighalimu M11.6 kwa ajiri ya shughuli zangu flani ambazo zimekwisha, iliingia ikiwa na KM74,356 na sasa ina KM98,234 na sioni haja ya kuendelea kua nayo maana ina paki tu mda mrefu tokea July 2017 ninaiuza kwa M7.5 pungufu sipokeiNataka gari aina ya ist, iwe katika hali mzuri, iwe imelipiwa ushuru vizuri isiwe ya ujanja ujanja, iwe ya 2008 kuja juu, iwe na mileage, si zaidi ya 150,000. Budget 6,500,00
Mkuu unaweza kutuma picha ya hiyo gari yako tukafanya biasharaDuu hizo condition zako nimezipenda sana, nakutakia kila la kheri nilijua naweza kuuza hapa mimi ninayo ya 2005 niliingiza Mwaka 2016 March ilinighalimu M11.6 kwa ajiri ya shughuli zangu flani ambazo zimekwisha, iliingia ikiwa na KM74,356 na sasa ina KM98,234 na sioni haja ya kuendelea kua nayo maana ina paki tu mda mrefu tokea July 2017 ninaiuza kwa M7.5 pungufu sipokei
acha uongoDuu hizo condition zako nimezipenda sana, nakutakia kila la kheri nilijua naweza kuuza hapa mimi ninayo ya 2005 niliingiza Mwaka 2016 March ilinighalimu M11.6 kwa ajiri ya shughuli zangu flani ambazo zimekwisha, iliingia ikiwa na KM74,356 na sasa ina KM98,234 na sioni haja ya kuendelea kua nayo maana ina paki tu mda mrefu tokea July 2017 ninaiuza kwa M7.5 pungufu sipokei
IST ya 2008 ya bei rahisi njoo sharijaah, zanzibar bei haizidi 4,500,000/=Hupati ng'ooo labda nisaan march au ist ilochoka sana
utacheza mdumange kuisajili bara zanzibar inchi ingine kikodiIST ya 2008 ya bei rahisi njoo sharijaah, zanzibar bei haizidi 4,500,000/=
Hacha kukatisha wenzako tamaa saizi hali ni ngumu watu hata hela ya mafuta hawana jf sio mahali pazuri kufanya biashara maana kuna watu flani wajuaji wa kila kitu jomba nenda fb kuna magroup ya kuuza magari au kupatana.com au nataka gari.comHupati ng'ooo labda nisaan march au ist ilochoka sana
Dah mkuu nakushauri ukanunue Bajaji tuNataka gari aina ya ist, iwe katika hali mzuri, iwe imelipiwa ushuru vizuri isiwe ya ujanja ujanja, iwe ya 2008 kuja juu, iwe na mileage, si zaidi ya 150,000. Budget 6,500,00
Asante mkuu, lkn mkuu mbona unanikatisha tamaa mkuu, wakati pm tayari kuna request tatu.Dah mkuu nakushauri ukanunue Bajaji tu
Uwe makini na izo request maana mjin kupo tight siku izi ...bora pesa yako ukalimie matikiti uizakishe kama hutaki bajajiAsante mkuu, lkn mkuu mbona unanikatisha tamaa mkuu, wakati pm tayari kuna request tatu.
znz kweli utapata lakin kutoka znz kuja bongo itabid uilipie ushuru tena m 4 hadi tanoIST ya 2008 ya bei rahisi njoo sharijaah, zanzibar bei haizidi 4,500,000/=
Hacha kukatisha wenzako tamaa saizi hali ni ngumu watu hata hela ya mafuta hawana jf sio mahali pazuri kufanya biashara maana kuna watu flani wajuaji wa kila kitu jomba nenda fb kuna magroup ya kuuza magari au kupatana.com au nataka gari.com
MIMI NIMENUNUA GARI SHARIJAA IST 4000000/ NIMELIPIA 500000/znz kweli utapata lakin kutoka znz kuja bongo itabid uilipie ushuru tena m 4 hadi tano
Mkuu bado ipo hyo garDuu hizo condition zako nimezipenda sana, nakutakia kila la kheri nilijua naweza kuuza hapa mimi ninayo ya 2005 niliingiza Mwaka 2016 March ilinighalimu M11.6 kwa ajiri ya shughuli zangu flani ambazo zimekwisha, iliingia ikiwa na KM74,356 na sasa ina KM98,234 na sioni haja ya kuendelea kua nayo maana ina paki tu mda mrefu tokea July 2017 ninaiuza kwa M7.5 pungufu sipokei