Photographer and model trainer wanahitajika na INHB

InnovatorTz

Member
Jul 1, 2016
23
23
Hello.
Kama unaijua The Innovation House Brand basi utajua ni nini ninachozungumzia. Kwa wale waliopo instagram account hii ya instagram @theinnovationhouse2014 mtakuwa mnaijua kama hujaijua basi itazame.

Sasa kampuni imekosa photographer na Fashion model trainer kwa hapa Tanzania na Spain, sasa kama unajijua wewe ni photographer au model trainer na una ndoto sikumoja kazi zakomzifike mbali zaidi basi tunaomba tuwasiliane hapa.

+255783835253 (Whatsapp)
+255656660223 (Call)
 
Back
Top Bottom