Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau kama kuna MTU anauza simu tajwa hapo juu tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Nawasalimu wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu, natarajia kufunga ndoa mwezi November mwaka huu naomba msaada wa kujua maduka ninayoweza kupata suti, shela na viatu kwa bei ya chini bajeti...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Nipo Arusha mjini nahitaji mabati yaliyo tumika idadi yeyote kwa ofa ya kuanzia 5000.kwa mawasiliano 0759547047.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba contact za hao jamaa wanaojihusisha na teknolojia ya 3D printers, sikumbuki wanaitwaje. Kwa anayejua tafadhali anisaidie
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Wakuu nauliza nani anajua wapi naweza kupata hii machine ya kutengeneza matofali aina ya Hydra Form. Na ni bei gani?. Wasaalam. NB mwenye kujua wapi naweza kupata tukutane In box uniachie ujumbe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu waheshimiwa, Kwajina naitwa Said, na ni mtaalamu wamichoro, nauwezo mkubwa wa kumchora mtu na akatokea kama jins alivyo...... Bei zang ni: * 10,000 kwa karatas normal size * 15000...
10 Reactions
26 Replies
5K Views
Natafuta fundi wa photocopy mashine aliyepo moshi Mashine yangu inatatizo Msaada pia Kwa anae mjua fundi around moshi Kilimanjaro
0 Reactions
3 Replies
886 Views
Habari wana JF, mi ni mjasiriamali chipukizi............... Najishughulisha na kukusanya zao la Ukwaju. Mwenye uhitaji naomba anitizame inbox tuzungumze
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello wakuu, salam kwenu, Naomba nije kwenye mada moja kwa moja , Mimi nanunua bidhaa hizi Nairobi, na nyingine PIA napata hapa hapa Arusha Tanzani ambako ndiko ninakouzia bidhaa zangu hizi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Natumahi ujumbe huu utawakuta mkiwa salama salimi, Nina habari njema kwa viongozi au wanachama wa vyama vya ushirika saccoss, kuwa sasa taasisi ya jikuze Business Solution imepewa kibari cha...
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Salaam zenu wana jf,Mimi ni mfanyabiashara mdogo namiliki lodge ila nilikuwa nahitaji mkopo wa kumalizia lodge yangu nyingine. Naomba mwenye uelewa wa bank nzuri inayotoa mikopo kwa riba nafuu...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
V Lake and sea fishmonger tunawatelea dagaa za kukaanga, senene za kukaanga pia SAMAKI wabichi kutoka BUKOBA (ZIWA VICTORIA) bei zetu ni 1. Samaki kwa bei ya Reja reja kwa kilo ni sangara Tsh...
0 Reactions
45 Replies
16K Views
Kwa mahitaji ya nguo za aina mbalimbali za ndani kwa ajili ya wanawake zinapatikana kwa bei ya jumla Ni nguo zenye quality nzuri kabisa kutoka Egypt Kwa mawasilano zaidi tumia anuani zifuatazo...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari nauza simu elfu 50 Samsung GT S5301 nicheck PM au 0713667607
0 Reactions
6 Replies
917 Views
NAUZA NDOO NDOGO ZA KAWAIDA ZA LITA 10 TS ELF 3 ZIPO MIA ZILIKUWA NA BLUEBAND NI MPYA
0 Reactions
45 Replies
12K Views
Nauza Huawei y520 kwa bei poa ya Tsh90000 tu Nipo Babati, manyara kwa mawasiliano 0672231377
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa Offer ya 390000-400000
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana ambae nina nia ya ya kua content creator wa habari mbalimbali mitandaoni ila nahitaji kufahamu bei za maiki kwa ajili ya camera ni shilingi ngapi???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata shamba lenye hekari 30 linauzwa mkuranga limepimwa lina minazi zaid ya 10 mananasi na mpunga matikiti na mazao na mikorosho zaid ya 20 lipo mkuranga bei ni poa kwa zaid tuwasiliane kwa simu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom