Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
Habari za jioni ndugu zangu, nauza kiwanja changu chenye ukubwa was Sqm 890 kipo Babati maeneo ya Sinai. Bei nimeshusha 1.2 kutoka 1.8 Nauza kwa sababu nimekwama na nahitaji pesa. Viwanja vina hati miliki. Waliojitokeza wawili lakini bei yao ni ndogo sana.
 
Sqm 890 ni sawa na upana na urefu gani Tafadhali?
 
Barabara ya kwenda arusha. Hapo kwenye hayo maeneo serikali wanaweka stendi ya mabasi na of course kutakua na maduka. Baada ya muda mfupi hayo maeneo thamani yake itakua juu sana sababu watu wengi washalipia na wamepata hati zao serikalini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom