Nakupa laptop unanipa baiskeli

Nakupa laptop unanipa baiskeli

Atukuzwee

Senior Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
150
Reaction score
281
Nakupa lapotop unanipa baiskeli na hela kidogo

Location Arusha

Sifa ya laptop

Core i3
Ram 4gb
HDD 500
Processor 2.13
Haina tatizo lolote
Lile aina ya baiskeli ninayoitaka

887a0af98adc026b01dabd0b67162feb.jpg

Inaitwa ivite
Hyo apo

Niko serious

Nimevurugwa mwenye nayoo ani pm
 
babu jaribu biko au tatu mzuka unaweza bahatika mzeee.. vyuma vimekaza aiseee
 
Nakupa lapotop unanipa baiskeli na hela kidogo

Location Arusha

Sifa ya laptop

Core i3
Ram 4gb
HDD 500
Processor 2.13
Haina tatizo lolote
Lile aina ya baiskeli ninayoitaka

887a0af98adc026b01dabd0b67162feb.jpg

Inaitwa ivite
Hyo apo

Niko serious

Nimevurugwa mwenye nayoo ani pm
aina ya baiskel unayohitaj bei yake inaanzia milioni moja na kitu na hiyo laptop ni ya laki nne, hapo hesabu zimekaaje mkubwa
 
Delela ilo bei yake imesimama kuliko laptop.
 
Nakupa lapotop unanipa baiskeli na hela kidogo

Location Arusha

Sifa ya laptop

Core i3
Ram 4gb
HDD 500
Processor 2.13
Haina tatizo lolote
Lile aina ya baiskeli ninayoitaka

887a0af98adc026b01dabd0b67162feb.jpg

Inaitwa ivite
Hyo apo

Niko serious

Nimevurugwa mwenye nayoo ani pm

Hivi wewe unajua bei ya hiyo baiskeli kweli.Anayetakiwa amuongezee mwenzake hela ni wewe.Nenda pale Arusha Biycle center hiyo bei hutaiweza.computer siku hizi ni kila kona na bei poa kabisa
 
Hivi wewe unajua bei ya hiyo baiskeli kweli.Anayetakiwa amuongezee mwenzake hela ni wewe.Nenda pale Arusha Biycle center hiyo bei hutaiweza.computer siku hizi ni kila kona na bei poa kabisa
Kama unayoo njoo nkuongezee na hela basi
 
Hayo masharti yako ni magumu kama ya Mganga...!!

Unadhani ni nani ama wangapi humu JF watakuwa wanamiliki aina hiyo ya BAISKELI...!!
 
Hayo masharti yako ni magumu kama ya Mganga...!!

Unadhani ni nani ama wangapi humu JF watakuwa wanamiliki aina hiyo ya BAISKELI...!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi mwenye namba 2 yake ile yenye tairi jembamba zaidi.
 
Kuna baiskel niliulizia mahali zile za mashindano nikaambiwa milion 25 sijui kama ni kweli au walitaka kuniingiza mjini
Ni kweli Mkuu....!!
Wanaamini ukiwa nayo itakupa Mataji (Utajiri)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom