mimi ni mkulima mdogo mdogo nafanyia shughuri zangu za kilimo mkoan Morogoro wilaya ya Mvomelo maeneo ya manungu tulian (karibu na kiwanda cha Mtibwa suger), nimelima mpunga heka sita (6) na...
Wadau natafuta mteja wa nissan patrol model ya 1991 enjini ya gari ni kama mpya maana haijatumika sana wala haijawahi kufunguliwa kabisabu ina km 152,650
tatizo lake ni body tu imechoka kdg ila...
Tanzania ya viwanda ni ya kusadikika kwa ukatikaji wa umeme ulivyoshamili nchini Mwenye kuuza jenereta ya KVA 4 mpaka 6 awasiliane.ninusuru kiwanda changu cha vyerehani vinne in box plz.
Habari?
Acha kutumia perfumes fake na ujipatie perfumes za viwango kwa bei chee baada ya duka zilizokua zinauzwa kufungwa.
Unaweza ukazihakikisha kama original kwa kutumia simu yako,utadownload...
Habari bangudu na jamaa.Nataka kuanza biashara ya kuuza juice inayotokana miwa hivyo nahitaji mashine.Lakini pia naomba na ushauri wa kitaalamu na uzoefu wa biashara katika nyanja za
1)Aina ya...
Habari wakuu nauza simu tajwa,hiz ni baadh tu ya sifa zake
Haina tatizo lolote,ni L8 Lite 5-Inch IPS (1GB Ram, 16GB ROM) Android 6.0 Marshmallow, 8MP real camera+ 2MP front camera, ina support...
Wakuu Wasalaam,
Napenda kuwajulisha kuwa tarehe 20 mwezi huu naanza tena kusuply kuku wa kienyeji kutokea dodoma kwa mikoa ya Morogoro na Dar es salaam
Uwezo wangu wa kusuply kwa wiki itakuwa ni...
Wakuu!
Kama kuna mtu ana Transportation Company tunaweza kufanya biashara.
Kuna mzigo unatakiwa kupelekwa Lusaka, ni Furnitures&Building Materials.
40 feet Container
26 Tonnes each
Container 20...
Nawasalimu wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu, natarajia kufunga ndoa mwezi November mwaka huu naomba msaada wa kujua maduka ninayoweza kupata suti, shela na viatu kwa bei ya chini bajeti...
Wakuu nauliza nani anajua wapi naweza kupata hii machine ya kutengeneza matofali aina ya Hydra Form. Na ni bei gani?.
Wasaalam.
NB mwenye kujua wapi naweza kupata tukutane In box uniachie ujumbe...
Habari zenu waheshimiwa,
Kwajina naitwa Said, na ni mtaalamu wamichoro, nauwezo mkubwa wa kumchora mtu na akatokea kama jins alivyo......
Bei zang ni:
* 10,000 kwa karatas normal size
* 15000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.