Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,532
- 45,768
NAUZA NDOO NDOGO ZA KAWAIDA ZA LITA 10 TS ELF 3 ZIPO MIA ZILIKUWA NA BLUEBAND NI MPYA
Ndoo mpya au zilizokuwa na kitu/mafuta/rangi n.k.NAUZA NDOO NDOGO ZA KAWAIDA ZA LITA 10 TS ELF 3 ZIPO MIA
Zilizotumika kuwekea Rangi/Mafuta ya Kupikia au Brand New from Kiwandani??NAUZA NDOO NDOGO ZA KAWAIDA ZA LITA 10 TS ELF 3 ZIPO MIA
Ndoo mpya au zilizokuwa na kitu/mafuta/rangi n.k.
ZILIKUWA NA BLUEBAND NI MPYAZilizotumika kuwekea Rangi/Mafuta ya Kupikia au Brand New from Kiwandani??
Waziuza zote kwa pamoja au hata reja reja
Ziliz
Pichaa miss
utakavopenda mkuuReja reja au jumla
NAUZA NDOO NDOGO ZA KAWAIDA ZA LITA 10 TS ELF 3 ZIPO MIA ZILIKUWA NA BLUEBAND NI MPYA
ndio beby wangu kunba mahali kiatu kinauzwa elf 60 nataka nikakichukue pls helpUnauza ndoo umefulia?
Kiatu gani? Cha kokoko?ndio beby wangu kunba mahali kiatu kinauzwa elf 60 nataka nikakichukue pls help
Hesabu ni Janga la kitaifalaki tatu kwa ndoo 10? Unaniangusha mtoto wa kimachame
Naona amerekebisha kuwa anauza ndoo 100 kila moja 3,000/= hapo sawa ila swali la kizushi. Miss Natafuta Umezikwapua wapi?Hesabu ni Janga la kitaifa
Kiatu gani? Cha kokoko?
Hesabu ni Janga la kitaifa
wapi nimeandika laki tatu?laki tatu kwa ndoo 10? Unaniangusha mtoto wa kimachame
mods ndo wamekosea mkuu katika kurekebisha kwao.waulize walioona post yangu toka mwanzoni
Naona amerekebisha kuwa anauza ndoo 100 kila moja 3,000/= hapo sawa ila swali la kizushi. Miss Natafuta Umezikwapua wapi?
Hakuna popote aliposema ni ndoo kumi, wala hajarekebisha popote, huu uzi mimi ni kati ya wa kwanza kuuona na ku comment.Naona amerekebisha kuwa anauza ndoo 100 kila moja 3,000/= hapo sawa ila swali la kizushi. Miss Natafuta Umezikwapua wapi?
wewe unataka au vipi uletewe mzigo fastaNaona amerekebisha kuwa anauza ndoo 100 kila moja 3,000/= hapo sawa ila swali la kizushi. Miss Natafuta Umezikwapua wapi?