Nasupply asali na pilipili mbuzi

charles mgina

Member
Feb 16, 2016
35
18
Kampuni ya ck product ya dar_es-salaam tegeta tunapenda kuwafahimisha wale wote wa penzi wa pilipili kaliiii yaani hot chill na pilipili isiyowasha sana yaani mild chill ck tunasupply pilipili kwenye maduka mbalimbali ya pilipili kwenye masupermarket bakery maduka ya jumla maduka ya rejareja maduka ya kawaidaaaa......pilipili zetu ambazo tunasupply kwa jumla na rejarejaaaa ya sh 2000 tu bali pia tunasupply asali toka njombe nzuri isiyochakachuliwa kwa 11000 tu tunakuletea ulipo asante sana.


Kwa zaid namba ya simu 0717178455
20170817_061518.jpg
shilling 1000 jumla

20170817_061444.jpg
hizi ni sh 2000 tu karibu sana
 
Back
Top Bottom