Natafuta chumba cha kupanga Mwanza

Natafuta chumba cha kupanga Mwanza

trudie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
4,546
Reaction score
11,132
Habari wanaJF,

Natafuta chumba cha kupanga chenye choo na bafu yake (master bedroom)chenye bei nafuu maeneo ya kuanzia Pasiansi mpaka Nyegezi stand. Kwa yeyote mwenye kujua upatikanaji tafadhali naomba aniDM
Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom