Dalali aliyekaribu na chuo St John Dodoma


Ronzobe B29

Ronzobe B29

Senior Member
Joined
Jul 8, 2017
Messages
183
Likes
46
Points
45
Ronzobe B29

Ronzobe B29

Senior Member
Joined Jul 8, 2017
183 46 45
Ndugu dalali husika na kichwa tajwa hapo juu

Nakuomba uje PM au hapa hapa maana wenye uhitaji huenda tukawa wengi chumba kiwe karibu na chuo.
 
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
2,778
Likes
5,039
Points
280
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
2,778 5,039 280
Nipo hapa, m nishamalza ila nakuunganisha na mdau utakutana nae, unapata chumba camp d pale pua na mdomo, ukileta ujuaji utakaa magengeni au mirembe nifuate pm
 

Forum statistics

Threads 1,215,490
Members 463,205
Posts 28,550,375