Natafuta business partnership

Natafuta business partnership

Euaggelion03

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
722
Reaction score
790
Habari zenu wadau.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Mimi naishi kahama mkoani shinyanga.Wazo langu ni la kufungua Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.
Nilipata sehemu karibu kabisa na transforma maeneo ya kahama vijijini.Nikapanunua na kujenga boma la mashine.Nikafuatilia tanesco masuala ya Umeme nikaambiwa 930,000/= three phase. Mashine full pamoja na Fundi nikaambiwa million 3.
Sasa Mimi mtaji wangu mdogo,hivyo kama kuna mtu aliyeserious naomba anipm no yake tuingie makubaliano ili tuanze kazi.
NB:katika hiki kijiji hakuna Mashine kabisa watu wanaenda vijiji vya mbali kusaga na kukoboa
Naomba tuichangamkie fursa hii.

Naomba mnisamehe kwa kutopangilia mtiririko vizuri kwani Mimi sio mwandishi mzuri.
Karibuni wajasiliamali.Aliyetayari naomba anipm nitampa mawasiliano yangu.
 
nakuona upo serious kaka! big up
 
andika mchanganuo kuona faida za kila mwezi, changamoto na hasara halafu uje tuongee
 
Back
Top Bottom