umeshapata shamba ,kamabado 0744990530Waheshimiwa kwa yoyote anayeweza kunisaidia kujua mahali ambapo nitapata shamba maeneo yaliyo Karibu na manispaa liwe Na maji aidha ya kisima au mto naomba tuwasiliane hapa 0757014056
Mimi Nina heka 49 zipo kiberege morogoro unaweza kulima chochote
Nendà DumilaWaheshimiwa kwa yoyote anayeweza kunisaidia kujua mahali ambapo nitapata shamba maeneo yaliyo Karibu na manispaa liwe Na maji aidha ya kisima au mto naomba tuwasiliane hapa 0757014056
Kiberege heka moja una uza bei gani na mashamba yapo karibu na maji...Mimi Nina heka 49 zipo kiberege morogoro unaweza kulima chochote