Dodo18
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 315
- 93
Za jioni wadau? Simu aina ya Huawei P8 na INA 3GB ram na internal yake ni 16 GB. Haina tatizo lolote naiuza kwa sababu Nina simu nyingine hii imekaa tu ndani. Iko kwenye condition nzuri na kwa walewanaopenda picha camera take iko vizuri sana mblele na nya. Price in 270,000. Tuwasiliane kweneye namba ya 0712220207.