INAUZWA Fridge, sofa, meza ya chakula na kabati la vyombo vinauzwa


Kiyuga

Kiyuga

Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
63
Likes
18
Points
15
Kiyuga

Kiyuga

Member
Joined Sep 7, 2013
63 18 15
Kwema wakuu,

Ninauza vitu vyangu vya ndani kama ifuatavyo:
Kabati la vyombo 4"kwa 5" mbao mninga 500,000tzs
Dining table na viti vyake 200,000tzs
Sofa la watu 5 L shape 500,000 tzs
Fridge 280,000tzs
Unaweza kulipa kwa awamu kama utachukua zaidi ya kitu kimoja.

Kwa maelewano na picha, ni pm.

Napatikana Mbezi, Dsm.
 
S

sawabho

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
4,892
Likes
1,380
Points
280
S

sawabho

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
4,892 1,380 280
Kwema wakuu,,
ninauza vitu vyangu vya ndani kama ifuatavyo:
kabati la vyombo 4"kwa 5" mbao mninga 500,000tzs
dining table na viti vyake 200,000tzs
sofa la watu 5 L shape 500,000 tzs
Fridge 280,000tzs
unaweza kulipa kwa awamu kama utachukua zaid ya kitu kimoja.
kwa maelewano na picha,ni pm.
Mkuu, si umepewa pesa ya uhamisho, njoo navyo tu Dodoma maana huku bei iko juu.
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,348
Likes
7,383
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,348 7,383 280
Weka hiyo friji hapa ninaihitaji,
 
Nyati

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Messages
2,147
Likes
512
Points
280
Nyati

Nyati

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2009
2,147 512 280
Mkuu, si umepewa pesa ya uhamisho, njoo navyo tu Dodoma maana huku bei iko juu.
Huyu yuko huko huko Dodoma, siyo uhamisho bali vyuma vimekaza mkuu hataki kuachia angalau kidogo
 
kijana15

kijana15

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
687
Likes
149
Points
60
kijana15

kijana15

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
687 149 60
Japo hata picha za ushawishi ...
 
L

lumimwandelile

Senior Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
156
Likes
45
Points
45
L

lumimwandelile

Senior Member
Joined Feb 28, 2011
156 45 45
Huyu yuko huko huko Dodoma, siyo uhamisho bali vyuma vimekaza mkuu hataki kuachia angalau kidogo
dodoma kuna mbezi?? acha kuropoka ropoka hovyo
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
14,430
Likes
37,852
Points
280
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
14,430 37,852 280
Maneno mimi sipendelei, weka picha unishawishi
 
T

Tyetyetye

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2014
Messages
737
Likes
450
Points
80
Age
53
T

Tyetyetye

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2014
737 450 80
Tupia vipicha siyo ndumba
 
algorithim

algorithim

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2016
Messages
810
Likes
660
Points
180
algorithim

algorithim

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2016
810 660 180
aise.. ningukua na pesa ningechukua .. kweli ufukara mbaya..
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
12,960
Likes
9,580
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
12,960 9,580 280
Nitamfuata mtu PM kama tu anauza msambwanda, maana huo hawezi kuweka picha hadharani...otherwise ni upuuzi.
 

Forum statistics

Threads 1,215,398
Members 463,166
Posts 28,546,117