Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,807
- 11,492
Nahitaji mwenye nayo au kujua wapi nitaweza kupata housing original ya nokia c2-01.
Nimehangaika bila mafanikio. Nikiweka hizi za kichina za elfu 3 button zinakataa kabisa kupiga kazi.
Shukrani zangu!
Nimehangaika bila mafanikio. Nikiweka hizi za kichina za elfu 3 button zinakataa kabisa kupiga kazi.
Shukrani zangu!