Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Asking price ni 400k simu haina tatizo lolote ni almost mpya kabisaa njoo pm for info
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Wakuu ninatafuta Pikipiki ya kununua aina ya BOXER BM 150 kwa aliye nayo tuwasiliane kwa namba 0783 254995 nipo mkoa wa mara
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukubwa: Ekari 4 Bei: 10million kwa eka (maelewano yapo) Status: Eneo ni tambarare kabisa na unaweza kununua hata chini ya eka moja. Eneo linazungukwa na makazi ya watu likiwepo zizi la Mh...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahali lilipo: Majohe Kibaoni Ukubwa: hatua 27x21 Status: Halijapimwa na ila kuna banda la vyumba viwili Bei: 12mil Mawasiliano: 0687868455 Google location...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Nauza na kusupply earphone za jumla na rejareja kwa bei rahis mnoo Hii ni bei ya offer jumla ni kuanzia piece 4 na kuendelea Nauza kwa bei ya punguzo Shilingi 3500 kwa bei ya jumla piece 4 mpaka...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Kelvin Furniture ni watengenezaji na wauzaji wa Samani za maofisini na Majumbani milango ya mninga inauzwa Tshs 250,000/= tupo Dar es salaam - Tabata kimanga - opposite na shule ya msingi kimanga...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Kwa mahitaji ya workstation Desk karibu Autoguru Workshop Tunapatikana Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil Wahi uweke order yako sasa na upendezeshe ofisi yako Tuwasiliane kwa 0688767668/0715967107
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba. Kina...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Hello JF natafuta application ya kufanya record keeping especially financial record keeping. Mfano kama mkulima aweze kurecord data zake za kilas iku zinazohusia na na kilimo chake meaning mapato...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wenye kuhtaji bidhaa mbali mbali za kitamaduni na asili kama bakuri,sahani,vikombe vilitengenezwa kwa mazao asili ya miti ya kitanzania karibuni sana hapo chini ni mfano wa bakuri wenye kuzihtaji...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kujua kampuni za nje ya nchi zinazouza magari manual-yaliyotumika (used). Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.
0 Reactions
5 Replies
964 Views
We are new assist company in tanzania for apply security register/ contact as in our websites which is willliam's family Organazation
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Wapendwa kwa anaye uza mabati yaliyo kwisha tumika tafadhali anitafute haraka 0759547047
0 Reactions
4 Replies
727 Views
Wanajamii wenzangu natafuta gari ndogo ya kununua aina ya Passo au Suzuki Camy yaani gari isiyozidi cc 950.kama kuna mwenye nayo ani pm
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tired of Chinese products? Looking for quality stone coated metal roofing tiles? DM me ASAP. Serious people only! DIFFERENT STYLES DIFFERENT COLOURS
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juuu nahitaji laini ya uwakala wa mpesa iliyofit kalikiti kwenye matumizi nipo Dar ubungo plz fanya fasta fasta tupige buzness 0712046405
1 Reactions
3 Replies
595 Views
Jipatie Simu Mpya za Huawei Y6 pro kwa Tsh. 160,000/= Huawei Y6II kwa Tsh 420,000/= Samsung J3 kwa Tsh 320,000/= Power bank kwa Tsh 50,000/= Nokia 520 kwa Tsh100,000/= WIFI E5878 kwa Tsh...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Nauza Tecno W3 nipo Tabata Kimanga Bei 100,000 laki moja, haijatumika sana, mawasiliano 0656119263
0 Reactions
3 Replies
659 Views
Hellow wapendwa! Kwa furaha kubwa napenda kuandika makala hii kwa kifupi kuwajuza kuwa kampuni yetu toka nchini Uphilipino imeguswa na ukosefu wa Ajira/kuwa na kipato kisichokidhi mahitaji kwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wana jamii. Katika pitapita zangu nimekutana na habari inayosema jeshi la magereza linatengeneza viatu vya ngozi vizuri sana kwa ustadi mkubwa Huku moshi. Viatu hivi ni kwaajili ya maafisa...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Back
Top Bottom