kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Nisaidieni nipate gari
Nahitaji Toyota IST yenye rangi kijivu au nyeupe, namba D na iwe katika hali nzuri: low mileage, tairi nzima, haidaiwi, haijapata ajali na haijarudiwa rangi.
Bei ISIYOZIDI 6.8m. Mawasiliano PM