Nipo Dodoma ninauza vitambaa vya kufuma kwa bei poa jumla na rejareja..
N.B Natengeneza mwenyewe hivyo tukiongea unaweza kuletewa kwa bei poa kulingana na makubaliano pia unaweza kuweka order ya...
Kama ni mfanyabiashara au mnunuzi umekuwa ukisunbuka sana kujua thamani ya sarafu fulani, huenda ikawa umeona bidhaa online kwa bei ya nchi fulani lakini hujui thamani yake kwa dola au shilingi...
Kwa nini choo kinuke wakati suluhisho lipo Jipatie manukato ya choo yenye harufu nzuri ya kuvutia product ya south africa.
Baada ya kusafisha choo chako kausha maji kisha mimina manukato haya...
Habari za wakati huu wadau!, kama Topic inavyojieleza Natafuta tenda ya kusambaza samaki aina zote kwenye Mahotel, migahawa, shule na madukani.
AINA YA SAMAKI: Sato , Sangara, vibua, kamongo...
Natafuta shamba kwajili ya kilimo cha vitunguu, viazi au mpunga morogoro ila sio la kununua ni kukodi kama kuna mtu anaweza nisaidia nitashukuru!![emoji120]
Naombeni. Kujua na kuuliza. IPI ni window bora kwa PC ya Duo2 pia RAM 2GB
Swali LA pili. No hatua zipi za kufata wakat wa kushusha window 8 kuweka window 10 msaada jaman
ni Miti kwa ajili ya mbao ,mirunda na nguzo za umeme
Miti ina miaka 4
Bei ni 1200000 kila eka
Zipo eka 20
Shamba lipo kijiji cha lyalalo halimashauri ya Njombe ktk mkoa Wa Njombe
Kwa mawasiliano...
Habari wakuu!
Natafuta frem ya biashara ya grocery iwe maeneo ya mbezi ya Kimara! Isiwe kwa ndani sana,maeneo yaliyochangamka na yanayoruhusu watu kusuuza roho zao kwa kinywaji!
Inatumia mtandao wa tigo, lakn ukiongea vzr na wataalamu wa IT kama kina MwlRTC wanaweza kukusaidia kuiunlock itumie mitandao yote,
Sababu ya kuiuza ni kwamba nipo nje ya mji kwa miez kadhaa...
Ninauza mawe ya Tanga stone yaliyo katwa Tayari. Square meter moja nauza ni kati ya Tsh 35,000 na Tsh 60,000 inategemea na aina ya mkato (cutting style)
Wasiliana nami kwa namba hii 0758484166/...
wakuu habari! natafuta email address ya ICAP TANZANIA ambayo inafanya kazi maana hii ya icap-jobsTanzania@columbia.edu napata feedback kuwa siyo sahihi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.