Maeneo gani korosho inapatikana Dar?

Maeneo gani korosho inapatikana Dar?

yahoocom

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
331
Reaction score
380
Wanabodi habarini za wikendi,

Kwa mwenye_kuwa anafahamu maeneo/kituo kukopatikana korosho kwa wingi hapa Dar es Salaam ninaomba kuelekezwa.

Ninatanguliza shukrani.
 
Wanabodi habarin za wikendi. Kwa mwenye_kuwa anafaham maeneo/kituo kukopatikana korosho kwa wingi hapa dar es salaam nnaomba kuelekezwa. Nnatanguliza shukrani.
Korosho za aina gani ghafi au zilizobanguliwa. unataka kibiashara(nyingi) au za kuonja
 
Back
Top Bottom