Natafuta eneo la kufungua CAR WASH

Natafuta eneo la kufungua CAR WASH

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
5,050
Reaction score
5,118
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wadau nipo hapa Dar es Salaaam natafuta eneo linalofaa kufungua car wash au kama kuna mwenye eneo na angetaka tuingie ubia anifuate Pm
 
Karibu, kuna maeneo kinondoni! Nicheki
 
Back
Top Bottom