Nauza fridge used ya Hotpoint kwa 200,000/=

Nauza fridge used ya Hotpoint kwa 200,000/=

kilanio

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
221
Reaction score
69
eIko vizur Sana inapoza ndan muda mfupi na haitumii umeme mwing,

Nauza kwa kua ninahamia mkoani kikaz, napatikana kitunda-kivule dsm

Contact:0627288599
 
Attachments

  • IMG_20171123_190829.jpg
    IMG_20171123_190829.jpg
    61.9 KB · Views: 83
  • IMG_20171123_190807.jpg
    IMG_20171123_190807.jpg
    129.2 KB · Views: 98
  • IMG_20171123_190741.jpg
    IMG_20171123_190741.jpg
    68.2 KB · Views: 81
Picha mpaka tukuulize?T-shirt ina nini kwenye kichwa cha habari?
 
Hapo ukute alitaka kuandika Tsh.Sasa mambo ya smart phone haya...ikaja Tshirt.
 
Nishazi upload Wakuu, Samahan Sana Maana Bado ilinichanganya namna ya ku attach hzo picha,ndio Hyo wadau, karibun sana
 
Mkuu vyuma vimekaza fanya laki nije kuichukua
 
eIko vizur Sana inapoza ndan muda mfupi na haitumii umeme mwing,

Nauza kwa kua ninahamia mkoani kikaz, napatikana kitunda-kivule dsm

Contact:0627288599
Mbona ina kama kutu kwa chini mkuu
 
Back
Top Bottom