Habari wadau.
Nahitaji Air Compressor yenye specification zifuatazo:
1. Iwe na Piston mbili au zaidi.
2. Iwe na motor ya three phase
3. Storage Tank Size - 250L au zaidi.
4. Pressure - 220 PSI...
wapendwa nahitaji wakala wa bima wa jubilee nataka kurenew my insuarence ya gari comphncv. Kama inakusu nijibu niko maeneo ya sinza
au kama kuna anaejua mawakala wanaoeleweka anijuze na mahali...
Hello members, naulizia ni wapi (Dsm) naweza kupata pasi za Phillips ambazo ni made in Singapore? Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa kariakoo naona zipo za Indonesia tu.
Je wewe ni mfanyabiashara wa Duka lolote?,kama jibu ni ndio!,basi hii sio ya kukosa!"Smart IT Solutions"imekuletea mifumo ya Teknolojia(Software)itakayokusaidia kuweza kuhifadhi Taarifa Za...
Eneo liko Kihalaka Mapinga. Kilometa 10 kutoka njia panda ya Mbweni na kilometa 5 kutoka baobao. Kuna kisima cha maji na majengo kama yananyoonekana kwenye picha
Sqm 1 inauzwa sh 15,000
NIPIGIE...
Habari wanajamii.
Kwa wale wenye uhitaji wa nyumba za haraka na gharama nafuu zijulikanazo kama prefablicated house, compuni yetu inatoa huduma hiyo, Ndani ya mwezi mmoja tu tunakukabidhi nyumba...
Natoa samaki toka mwanza naleta dar es salaam nauza kwa bei ya jumla na rejareja, samaki aina ya sangara na sato napatikana kitunda. Kwa maelezo zaidi nicheki kwa namba 0745703651.Na wale mnaokaa...
Karibuni wapendwa one 2 one focus company Ltd tunajenga nyumba kwa bei nafuu Sana, pia tunafanya Reno's za nyumba, na finishing za nyumba kwa bei poa kwa mawasiliano zaidi, 7653494865.hizi ni...
Full body massage 50,000
Relaxation Massage 100,000
Deep tissue massage 80,000
Chinese foot massage 30,000
. Tuna products zinazotibu na kumaliza kabisa matatizo ya ngozi kama vile mba, miwasho...
Tv philips 32inch ina remote yake mtumba,bei laki nne maongezi kidogo yanaruhusiwa.ipo tanga 0658114111
Wilayani unatumiwa kwa gharama zetu na unalipa mzigo unapokufikia,karibuni
Toner refilling is the practice of refilling empty laser printer toner cartridges with new toner powder. This enables the cartridge to be reused, saving the cost of a complete new cartridge and...
Za asubuhi wana jf kuna nyumba inauzwa vikindu mkuranga pwani ina vyumba vitatu pamoja na vyuo vyao ndani katika kila chumba,kuna felemu za biashara tatu, Kuna maji, umeme na choo cha public nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.