Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Asalaam Aleykum! Wahenga naombeni mnitafutie soko la haya mawe maana bado sijapata.Kuna watu nimewaona Site wanayachimba na KIJIKO na kujaza kwenye SEMI TRAILER na gari huwa linaelekea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni sales consultant wa TUNAKOPESHA LTD, ni taasisi ya fedha inayotoa mikopo kwa watumishi wa serikali Tz kws riba nafuu na kwa haraka mikopo hutolewa kuanzia 500,000 - 20,000,000 Tsh...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nauza simu hiyo iphone 5, iko poa nakupa na chaji yake ina cover imara sana bei ni tsh.400,000 mazungumzo yapo karibuni No 0628593076
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Fridge laki tatu, Sofa coach laki tano, Kapeti elfu hamsini Simu tecno w3 Nipo tabata kimanga
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ziko mbili Chanika dsm Zote tshs 150, 000 tu Sijazitumia kwa mda mrefu Zinahitaji marekebisho. Compressor zake ni nzima kabisa Anaehitaji ani PM
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Professional Crossover na Equalizer vyote kutoka kampuni ya dbx vinauzwa kwa bie sawa na bule na vyote ni vipya kabisa bei ni 230,000, wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Piga namba 0686 719 815 au...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu habarini mimi naitwa Avittrust niko hapa jijini tanga nina kituo cha kufundisha tution kama kichwa kinavoelezea hapo natafuta wanafunzi niwafundishe tution...katika kituo changu ...haswa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanajamii plz nahitaji asali, ila sina uzoefu wa bei zake, mwenye kujua bei kwa lita na wapi asali nzuri inapatikana hapa dar, asante.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu, nahitaji bajaji iliyo kwenye hali nzuri hapa dsm... tafadhali tuwasiliane haraka pesa ipo tyari....tafadhali utapeli ni kosa kisheria natoa tahadhari kaa mbali.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
We provides you with the right financial tools to get the personal or business funding you need. We can help you turn an adverse situation into a positive outcome. We offer all kinds of financial...
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Aina ni Sony Xperia c6833 Android version ni 5.1.1 Ram 2 bg... Internal memory 16gb,cam mp 8 Sim Used Imetoka ulaya najua wengi wenu vyuma vimekaza ntawauzia kwa 350000/ bei ya kuuza sim Haina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Natafuta chumba cha kuweka studio ya Muziki, Chumba kiwepo Magomeni au Kinondoni, Budget yangu ni 70000 kwa mwezi, Chumba kiwe mahali penye usalama na pasipo na Kelele nyingi. Kisiwe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Camping experience ndani ya Dar es salaam na kwa mikoa karibu
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Habari wadau,[/SIZE] Ninauza Toyota Hilux double Cabin 2.8 Diesel, Manual Transmission. Bei ni 8,500,000 (8.5 M) mazungumzo yapo kwa serious buyer. Gari ipo Bunju; Dar es salaam. Mawasiliano...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Unasumbuliwa na fangasi,rangi kubanduka kwa muda mfupi jibu lipo kutana na mafundi waliobobea katika maswala ya skimming na rangi nasi tutakutatulia tatizo hilomawasiliano:0692940943 Tupo Dar es...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Kama kuna mtu anayo au anajua yanapopatikana mafuta halisi ya simba nna shida nayo sana
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Kwa wauzaji simu plz nitajieni bei ya samsung galax grand palm +
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba yeyote anayejua kama kuna chumba kinapangishwa maeneo ya Tabata karibu na barabara naomba anijulishe. Au kama kuna mtu anahama tunaweza kuongea akaniachia. Nina mgeni wangu toka mkoani...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu mambo vipi, Hongereni kwa mchaka mchaka wa hapa na pale. Tuwape pongezi wadau wote wa Scandinavia express baada ya kimya cha miaka mingi sasa wanarudi tena kwa kishindo licha ya kuwa...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Hallo mwenye Ps4 machine mbili na VR moja
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom