Man Jau
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 538
- 826
CHARLII MEDIA
hi!
Ninatengeneza Newsletters kwa design ya biashara yako au kampuni yako; kuanzia shuleni, Ofisini au kwenye Taasisi. gharama ni nafuu sana, kuanzia Tshs. 300,000/=. ninafanya pia Layout and Designing ya Newspaper, Magazines, n.k. na Dummying kwa wanaotaka kuanzisha Gazeti au jarida Jipya.
Newsletter ni ripoti ya matukio muhimu yanayotokea katika taasisi, Biashara au kampuni kuhusiana na huduma unayoitoa kwa ajili ya wateja wako. yaweza kutoka kila mwezi, msimu au mwaka, kulingana na malengo yako ya mrejesho kwa wateja wako, jamii au wawekezaji wa firm yako.
Matangazo ninayotengeneza ni ya kibiashara, (bidhaa au huduma) madogo kwa makubwa. yanaweza pia kumshirikisha msanii maarufu, mtangazaji bora, n.k, kulingana na asili ya tangazo lenyewe. hata ukimtaka monalisa au Natasha, asikike au aonekane kwenye tangazo lako, kwangu inawezekana. ela yako tuu. ninatoa ushauri wa bure kwa ajili ya tangazo bora liweje, hata kama utataka kutengeneza mahala pengine.
Documentaries (Makala) hutumika sana kuelezea habari fulani na Uchambuzi. kwangu ni sehemu nzuri ya kutangaza biashara mpya au kuifufua inayokufa au kuiweka sawa iliyokwishapotea katika ramani ya mteja kwa sababu mbalimbali. zipo aina zaidi ya saba za Documentaries. umuhimu wake unaonekana katika wakati mgumu kifedha kama huu wenye stiff competition na uchache wa matumizi.
pia Naandika Script za Filamu, Tamthilia, Vipindi vya Televisheni, Matangazo ya aina zote na hata ya Video za Muziki.
kwa maelezo zaidi, Wasiliana na mimi nijue namna ya kuisaidia biashara, Taasisi au Kampuni yako ikue, kusimama na kuboreka na kuwaacha mbali wapinzani wako, kibiashara. piga au tuma ujumbe namba 0716223555, au 0783384444
ofisi yangu kwa sasa ipo Nyumba Na. 5, Tanya Street, Yombo Dovya, Temeke, Dar es salaam, nipo kwenye mchakato wa kufungua ofisi mpya, kubwa zaidi, Chang'ombe. Huduma inatolewa kwa mteja yeyote yule nchini. hata kama upo Mbeya au Bukoba, utaipata huduma yako kwa wakati muafaka ulioupendekeza.
Karibuni sana!
LINKED PORTFOLIOS >>>>> Documentary Video Ad Newsletter Banner Poster Ad
NB: "Communication - the human connection - is the key to personal and career success." Paul J Meyer