Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Majogoo wazazi wa asili aina ya kuroiler wanauzwa Sinza Dar es Salaam, wana uzito wa kuanzia kilo mbili 2 na kuendelea. Bei ni nzuri sana Tshs 15,000 kwa kila jogoo na wapo idadi ya kutosha. Kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina simu aina ya Tecno Phantom Z mini iliingia kwenye maji so naihitaji motherboard yake maana kila fundi anasema ni old version kama yupo wenye hiyo mambo tuchekiane. nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Wanandugu Kama Kuna mtu anauza samsung Galaxy S5 Naomba anijulishe na aweke Bei yake Hapa Jukwaani!
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Anahitajika mwalimu wa kufundisha mwanafunzi wa kidato cha tatu kipindi hiki cha likizo. VIGEZO - atakuwa anamfundishia nyumbani - atakuwa anamfundisha yale masomo matano basic - awe anaishi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari. Kiwanja kinauzwa Babati. Serikali waligawa hivi viwanja na unapatiwa hati yako kutoka serikalini, a clean title dead. Kiwanja kilo barabara ya kuelekea Arusha na ni masaa mama matatu to...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kilivyotangulia, Nauza kiwanja changu kipo Kigamboni kina square mita 600 kimepimwa na kina hati kipo jirani na Avic town bei ni mil 10. Mawasiliano 0742597424
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Hellow wana jamii forum nilikua naulizia mtaalamu wa IT anaejua zile system finger print zinazofungwa katika maofisi kwaajili ya watumishi Ku sign in na out aje DM tufanye deal
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Habari njema kwa wenye uzito mkubwa,vitambi na tatizo la kisukari. Wasiliana nami nikupe ufahamu na suluhisho la matatizo hayo kwa simu nambari 0654267459
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja kilichopimwa,Chenye documents kinauzwa. Mahali; Sofu Kibaha picha ya ndege,km 2 toka main road ya Dar-Chalinze.Upande wa kushoto wa gereza kama unatokea Dar. Ukubwa; 750 meters square...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
gari inahitajika hapa mwanza la chini ya shilingi mil 5 lisiwe six cylinder
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Ndugu yangu mambo yangu hayapo vizuri kabisa. Napambana lakini hali bado mbaya. In short vyuma vimekaza. Nimefikiria nimeona humu kuna watu wengi na tofauti tofauti, naomba kuwaomba kwa kuwa...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wana JF! Kwa wenye mahitaji ya bima za:- 1. Magari (Motor Insurance) 2. Majengo (Buildings Insurance) 3. Viwanda vikubwa na Vidogo (Industrial/ Manufacturing Risks) 4. Hasara inayoweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kwema humi ndani? Mimi naishi Mbeya nimepata kahela kidogo. Sasa wazo langu nikufanya biashara ya nguo za watoto. Naombeni kujua ni mtaji kiasi gani unafaa kuanzia na mzigo naweza pata wap...
0 Reactions
1 Replies
47K Views
Habari zenu wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, kama kuna yeyote anahitaji karanga aje tufanye biashara.Mfano; ukihitaji karanga gunia 100. Nakupa bei ya huku kama utakubaliana nayo...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari zenu jukwaani, Naomba wajuzi na mafundi wa solar wanieleweshe, nataka kufunga Solar sehem ambayo matumizi yake ni kama ifuatavyo:- 1-mafeni mawili ya solar 2-taa 8 za solar 3-Amplifier ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ipo salasala lami mpya, km 1.5 kutoka Bagamoyo Road Vyumba 3 self na kimoja cha kawaida jumla yake 4 Size plot 600sqm Bei 220m Maongezi yapo Mawasiliano +255756060183
2 Reactions
36 Replies
9K Views
Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba. Kina...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Ofaaa:KWA TSH 45,000/= TU. UTAPATA SETI YA SUFURIA ZA KEKI PAMOJA NA VIFAA VYA KUPAMBIA KEKI. Utafikishiwa popote pale ulipo ndani ya Dar es salaam bila malipo Na Kwa mikoani tunaagiza. WASILIANA...
1 Reactions
1 Replies
12K Views
nahitaji juice dispensar na double door showcase fridge nione msg
0 Reactions
1 Replies
616 Views
Back
Top Bottom