Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 600
- 700
Habari zenu waungwana,Siku ya jana nikiwa na rafiki yangu kwenye matembezi alinishawishi tukaudhurie semina katika moja ya makampuni ya kusambaza dawa kama jinsi alivyo nieleza,cha ajabu mafunzo yaliyokuwa yanaendelea kwenye semina hiyo hayanatofauti na baadhi ya mada ambazo nimeziona hapa JF kuhusu pesa za mtandao kama forex,trevo n.k.Tafadhali msaada kwa anayejua hili jambo ili kuepusha majuto.