Air condition(ac) inauzwa.

uaminifukazi

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
1,465
912
Nauza AC imetumika miezi 3 na wiki 2. Bei laki 4.
Nipo tangibovu.
Kwa mawasiliano zaidi: 0713961638.

0747eae3534534206eadf67e6583a7b1.jpg

faa44250dabb9061501b9c306354d233.jpg

9ba80d8186888fa75cf00c8e8b1af235.jpg

de29c74d2fc5ac3321c906c17c991344.jpg

86849edca44989818f4230bdf6e469b0.jpg
 
namba yako haipatikani whatsapp, kama una namba ya whatsapp nipatie please.
 
Nakupa 275000
Ndugu hela naitaka lakini kwa hiyo bei inaniumiza kwani bado kuna gharama za kuisafirisha hadi saiti kwako.
AC ukiiona nina hakika hutouliza Mara mbili.
Ndio maana nasisitiza bei ya mwisho ni laki 3.
Imetumika miezi 3 na wiki mbili.
 
Ni Horsepower ngapi?

Kama ni 1.5hp na haina tatizo lolote nitaichukua.
4b57e4dd81c5226097dae26698572e82.jpg

d457a2c2a01b44aa09c3f88c98becb8c.jpg

Kwa vipimo sijui labda uangalie hapo kwa picha au kama upo tayari naweza nikakuletea mahala ulipo kwa gharama zangu na hata ukikuta sio nitairudisha kwa kwa gharama zangu bila kinyongo yaani ile kiroho safi. Sipo nyumbani ila ukihitaji naweza kuifata nikakuletea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom