Eneo la kufugia bagamoyo kiromo

Eneo la kufugia bagamoyo kiromo

Ungeweka na gharama za kukodi au kununua hakika ingependeza
 
Ungeweka na gharama za kukodi au kununua hakika ingependeza
Kuuza break down ipo hivi:
1.plot 1600 sqm 7.5m malipo kwa installment tatu inawezekana kwa plot tu sio banda installment ya kwanza 40% balance inayobaki unalipa kwa installment mbili.
2.gharama Za banda na fence na tank as follows banda 8m,tank laki 8,fence ya wire 2.5m,solar 1.2m.total ya banda na vyote ndani ya plot 12.5m hii tungependa ulipie Papo hapo kama tunakuachia eneo uendelee kulitumia

Gharama ya kukodisha ni laki tano kwa mwezi tunapokea installment ya kwa miezi 6 au mwaka ingawa mwezangu alikuwa anaprefer mikataba iwe ya mwaka ili awe na uhakika.

Eneo lipo sehemu nzuri sana kwa wanaopenda kufuga aina yeyote ya mifugo hata kujenga baadae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom