Natoa Elimu ya ujasiriamali

Natoa Elimu ya ujasiriamali

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,286
Reaction score
6,729
Je, ni wangapi humu wagependa somo la ujasiriamali?

Najiandaa kuandaa somo hilo, humu jamvini, hasa kwa wamiliki wa biashara ndogondogo na wajasiriamali.

Somo litahusu taratibu mbalimbali muhimu zinazohitajika kuandaa na kusimamia biashara ndogo.

Natayarisha pia, mwongozo utakaoelezea hatua sahihi za kutengeneza mpango kazi wa kujenga na kuimarisha biashara, ikiwa ni pamoja na matumizi sahihi ya masoko ya mtandao na kuandaa mikakati ya usimamizi bora.

Nasubiri mahitaji kutoka kwenu wanaJF.
 
Mimi nipo tayari
 
mkuu sema unaandaa somelo la elimu ya biashara na sio ujasiriamali.

Ujasiriamali ninavyo kua haufundishwi kamwe ujasiriamali ni hali fulani,
 
wanasema Ujasiriamali ni spirt ni passion kutoka moyoni mwa mtu mwenyewe, usha wahi fundishwa kupenda?
Basi kama ilivyo kwamba huwezi fundiswa kupenda basi na ujasiriamali ni hivyo hivyo
Kumaliza ukweli mkuu kama maelekezo yako yanavyoeleza
 
mkuu sema unaandaa somelo la elimu ya biashara na sio ujasiriamali.

Ujasiriamali ninavyo kua haufundishwi kamwe ujasiriamali ni hali fulani,
Mjasiriamali can bê born or made,kuna wajasiriamali wanatengenezwa na wameweza kufanya vizuri sana. Mtoa mada nadhani anataka kuwaongezea mbinu wajasiriamali
 
wanasema Ujasiriamali ni spirt ni passion kutoka moyoni mwa mtu mwenyewe, usha wahi fundishwa kupenda?
Basi kama ilivyo kwamba huwezi fundiswa kupenda basi na ujasiriamali ni hivyo hivyo

si kweli mkuu,kupenda unaweza kufundishwa,waulize wale waliokua wana maumivu ya moyo,either kutokana na kuachwa au kushuhudia uovu kwa wanandoa,kuna counselling/therapy kibao zinafanywa kuurudisha moyo na kuanza kupenda tena.Huoni jukwaa la MMU linasaidia watu?lol
 
mkuu sema unaandaa somelo la elimu ya biashara na sio ujasiriamali.

Ujasiriamali ninavyo kua haufundishwi kamwe ujasiriamali ni hali fulani,
Wewe ni mmojawapo unahitaji sana elimu ya ujasiriamali.
 
Mjasiriamali can bê born or made,kuna wajasiriamali wanatengenezwa na wameweza kufanya vizuri sana. Mtoa mada nadhani anataka kuwaongezea mbinu wajasiriamali
Ujasiriamali ni somo kama masomo mengine, lina misingi yake.
 
Mjasiriamali can bê born or made,kuna wajasiriamali wanatengenezwa na wameweza kufanya vizuri sana. Mtoa mada nadhani anataka kuwaongezea mbinu wajasiriamali
siwezi kuelesa sana, ila ni kwamba hata ukiwa Made still lazima itoke rohoni mwako.

Passion.passion inatoka moyoni mwako kama huna ni haiwezekani.

watu nyie mnachanganya business skills au Entreprenership skills na Entrepreneurs.

Usichanganye kamwe vitu hivi
-Business skills/ Entrepreneurship skills

Na Entrepreneurs
 
ina maana wanaofundishwa vyuoni somo la biashara,wanapoteza muda?lol
 
Back
Top Bottom