Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ninauza compressor ya upepo size ya kati. Compressor bado mpya haijatumika na ina vifaa vyake vyote. Niliinunua 650,000 dukani na ninaiuza 400,000 tu. Sababu ni change of business plan. Serious...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Msaada wapi nitaweza kujifunza jinsi ya kutengeneza sabuni aina zote au mtu mtu wa kunifundisha. AHSANTENI, 0652600911
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Yanahitajika Maroli kumi ya haraka kupeleka mbolea Muzuzu, Malawi. Kama kuna transporter humu ndani anipigie fasta, 0659890000
0 Reactions
5 Replies
801 Views
Habari. Tunauza dagaa kutoka Mwanza, hawana mchanga kabisa na wamekaangwa wanapatikana wakiwa tayari PACKED kwa bei ya jumla na rejareja. Jumla tunaanzia Package TANO. Contact Us at _0656781601_...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mabati yaliyotumika design ya zamani na ya mwanzo ya alaf aluminium yenye mgongo wa L type yanauzwa pamoja na mbao zilizotumika. Bidhaa zinapatikana magomeni mapipa. Njoo dm tuyajenge
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi, Ninauza nyumba vyumba vinne, pamoja na shule ya chekechea kwa pamoja. viko kwenye kiwanja kimoja chenye ukubwa wa 4500sqm.Kiwanja kipo Pugu Kigogo Fresh. kama utahitaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa hekari tano linauzwa lipo maeneo ya kongowe halmshauri ya mji wa kibaha bei maelewano!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu nina mpango wa kuanzisha biashara ya mafuta asili ya kujipaka ambayo natengeneza mwenyewe. Ni namna gani naweza kupata vifungashio.
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans. Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi Karibu sana 0654919121
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Nauza gari aina ya Toyota PROBOX. Kwa anayehitaji twaweza kuwasiliana. > Gari ni ya mwaka 2008 > Imetembea (kilometa) 42000km > Ukubwa wa injini ni Cc 1500 > Ni Automatic, > Rangi nyeupe Maelezo...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
New Samsung Galaxy S6 Plain 32GB Bei 430000. Call 0718028224
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa 25m Vyumba sita,nyumba ya kawaida tu Jiko njee choo nje. Unaweza kufanya adjustment kuweka masterbedroom ya kishkaji Umeme na maji yapo. Karibu na huduma zote muhim,shule nk.Mjini...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Resonate Consulting Group is pleased to announce the first intake of participants for CISA training for 2018. This practical hands-on CISA training will enable participants to acquire marketable...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani natafuta soko la kuku chotara! napatikana morogoro mjini. karibuni!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu anaishi maeneo ya Kibaha anatafuta Fundi wa CCTV camera wa eneo la Kibaha! Shida ni kufunga camera hizo nyumbani kwake! Kama Fundi huyo yupo ajitokeze akamate huo mpunga!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna screen na cover lake, RAM 4gb, battery, keyboard na mouse sensor, mlango wa cd ,processor, na fan. Namba: 0652612028
0 Reactions
0 Replies
595 Views
MwenyeToyota probox iliyo kwenye hali nzuri
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu zangu heshima kwenu jukwaa lenye madini mbali mbali ya elimu,anaefahamu jinsi ya kupata hii mashine ya kusaga na kuhifadhi tangawizi ktk pakti na zenye lebo kisha kuuza nje ya nchi ili...
2 Reactions
29 Replies
9K Views
Wakuu aina gani ya SIMU naweza ipata kwa bajeti ya laki moja kwenye tigoshops au airtelshops
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Habari zenu wote? Tunasafirisha mizigo ya aina mbalimbali kutoka Arusha,Moshi hadi Tanga. Tuna lori zetu ambazo huwa zinakuja kuchukua sementi Tanga na hivyo kuja zikiwa tupu na kurudi na mzigo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom