Nyumba Kigogo Luhanga inauzwa

Nyumba Kigogo Luhanga inauzwa

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,879
Reaction score
10,100
Nyumba inauzwa 25m
Vyumba sita,nyumba ya kawaida tu
Jiko njee choo nje.
Unaweza kufanya adjustment kuweka masterbedroom ya kishkaji
Umeme na maji yapo.
Karibu na huduma zote muhim,shule nk.Mjini mjini
Unaweza kulipa 15m ukahamia kisha miezi kadhaa ukamalizia balance.
 

Attachments

  • IMG-20171214-WA0030.jpg
    IMG-20171214-WA0030.jpg
    61.8 KB · Views: 79
  • IMG-20171214-WA0034.jpg
    IMG-20171214-WA0034.jpg
    70.3 KB · Views: 73
  • IMG-20171214-WA0032.jpg
    IMG-20171214-WA0032.jpg
    57 KB · Views: 70
Gari inafika mkuu inaonyesha mko karibu na dawasco na hili jua la dar miwa na tembere zimestawi hapo jangwani
Hahaha.
Mkuu gari haifiki.
Nyumba haifiki maji,ipo kwa juu ya waliopo bondeni ina ki slope.

Muhim kwenda kuiona.

Ni nyumba simple ya kiswahili,wengi tumeanzia maisha hayo.
Kufika tena Mujini ndio mambo yamekuwa ya vyoo vya ndani.

Bei inaendana na nyumba ilivyo.
Watu wanabana mjini.humuhumu kiubishiubishi

Mazungumzo yapooooo.
 
Aisee nimependa tangazo lako. Huweki mbwembwe. Unaongea ukweli. Safi sana.
Sasa mzee ikiwa 10 million inakufaa mi hata kesho nakuja tumalizane.
 
Ninependa tangazo lako. Huna mbwembwe. Unaeleza uhalisia.
Safi.
Sasa ikiwa 10 million itafaa mi hata kesho nakuja kuichukua. Hata leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom