Nauza gari toyota probox

Nauza gari toyota probox

Pandekisa

Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
16
Reaction score
1
Nauza gari aina ya Toyota PROBOX. Kwa anayehitaji twaweza kuwasiliana.
> Gari ni ya mwaka 2008
> Imetembea (kilometa) 42000km
> Ukubwa wa injini ni Cc 1500
> Ni Automatic,
> Rangi nyeupe
Maelezo zaidi yatatolewa kwa atakayekuwa anahitaji. Gari ni zima linafanya kazi kila siku na linatumika kwa matumizi ya nyumbani/familia tu.

Asanteni
 
bro hujatimiza maelezo bei namba ya simu picha za gari na wewe ni mwnye gari au dalali
 
Nauza gari aina ya Toyota PROBOX. Kwa anayehitaji twaweza kuwasiliana.
> Gari ni ya mwaka 2008
> Imetembea (kilometa) 42000km
> Ukubwa wa injini ni Cc 15000
> Ni Automatic
Maelezo zaidi yatatolewa kwa atakayekuwa anahitaji. Gari ni zima linatembea kila siku na linatumika kwa matumizi ya nyumbani/familia tu.

Asanteni
Mkuu hata picha unashindwa kutupia?
 
Umeshtukia kitu gani ktk hilo gari mpaka uliuze likiwa bichi ivyo
 
toa basi maelezo mengine mkuu how much selling price, numbe za gari ...., numbe za simu weka na picha plz jibu vipengele vyote
 
kingine mahali gari ilipo kama ni dar es salaam au huku singida sawa tu
 
bro tuko serious na biashara au bei mpaka UMUULIZE MWENYEWE
 
Back
Top Bottom