Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,673
Shamba lenye ukubwa wa hekari tano linauzwa lipo maeneo ya kongowe halmshauri ya mji wa kibaha bei maelewano!
 
Mimi nauza kingulwila Morogoro heka 5 na robo kwa Mil.5 tu....shamba bado ni jipya na lina nyaraka za serikali ya kijiji na viongozi walioniuzia bado wako madarakani...kama utapenda tutaenda pia ardhi kwa verification...Karibuni sana.
 
Sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom